Simba kumwania mshambuliaji wa Stade Malien

Klabu ya Simba inamtazama mshambuliaji wa Stade Malien Taddeus Fomakwang Nkeng (26) kama chaguo la kuimarisha safu ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao.

Nyota huyo aliefanya vizuri kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika akifunga mabao 3 ameisaidia klabu yake kufuzu hatua ya Robo fainali kwa mara ya kwanza.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI