Fikiri Elias awa kocha mkuu Coastal Union

Fikiri Elias Mahiza amejiunga na klabu ya Coastal Union akiwa ndiye kocha mkuu wa klabu hiyo akichukua mikoba ya Mohamed Muya.

Hii sio mara ya Kwanza Kwa Fikiri kuwa kocha mkuu kwenye kikosi hicho kwani mwaka 2023 alikuwa ndiye kocha mkuu huku pia akiwahi kuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo chini ya kocha Mwinyi Zahera.

Fikiri Elias amewahi kufundisha timu za JKT Oljoro na Kengold ikumbukwe kuwa Kwa sasa Fikiri ni miongoni mwa makocha waliopo kwenye idara ya Ufundi ya TFF lakini ni Mkufunzi wa makocha Kwa ngazi ya CAF na FIFA


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons