PICHA: MAN CITY WAKIFURAHIA UBINGWA WAO JANA tarehe Mei 12, 2014 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Mabingwa wa England: Manchester City wamebeba ndoo ya pili katika misimu mitatu baada ya kuifunga West Ham mabao 2-0 Nahodha wa ajabu: Vincent Kompany akibeba kombe la ligi kuu Sherehe: Vincent Kompany akibeba kombe la ligi kuu kuashiria mwisho wa msimu wa mafanikio kwa Man City Washikaji: Joleon Lescott, Vincent Kompany na Joe Hart wakipiga picha pamoja kwenye chumba cha kubadilishia nguo Mwalimu na kamanda: Nahodha Vincent Kompany na bosi wake Manuel Pellegrini wakishika kombe la ligi kuu Sergio Aguero akinyanyua kombe kwa mara ya pili akiwa na Man City Mzee juu juu: Wachezaji wa Man City wakimbeba na kumrusha hewani Manuel Pellegrini Furaha: Hata Manuel Pellegrini alitabasamu alipobebwa na wachezaji wake Wakati wa furaha: Pellegrini akipozi katika picha na kombe lake la kwanza Man City Maneno ya shukurani Maelfu ya mashabiki wa Man City walivamia uwanja wa Etihad baada ya kipyenga cha mwisho Mzee wa familia: Kompany akiwa katika pozi la picha kwa kushika kombe la ligi kuu pamoja na familia yake Shangwe tupu Etihad, ubingwa raha sana