Tchakei arejea mzigoni Singida BS

Kiungo wa Klabuya Singida Black Stars, Marouf Tchakei amejiunga na kikosi baada ya majeraha ya Muda Mrefu .

Tchakei alikosekana kwa muda mrefu hasa baada ya kurejea kwenye kikosi hicho baada ya kuachwa na Yanga SC na baadaye kutumia.

Kiungo huyo mahiri na fundi wa mpira atakuwepo katika mchezo wao dhidi ya KMC FC unaotazamiwa kuchezwa kesho

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons