Star Boy aweka rekodi ya kutoa assist tatu kwenye mechi moja

Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Allan Okello "Star Boy" raia wa Uganda, leo ameweka rekodi ya kutoa assist tatu mfululizo na kuwa hat trick katika mchezo wa Ligi Kuu bara dhidi ya Pamba Jiji katika uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.

Okello ambaye mwanzoni baada ya kusajiliwa katika dirisha dogo la Januari, hakuwa kwenye kiwango chake cha ubora kiasi kwamba Watanzania Simba na Yanga kuingia chaka zikimuwania, sasa ameanza kukiwasha.

Kiungo mshambuliaji huyo leo ametoa assist tatu huku mbili akiweka kimiani Mudathir Yahya na moja akiweka wavuni Mkongoman Max Nzengeli


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons