Nassoro Saaduni aifuata mechi ya Simba

Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza dhidi ya Simba, Nassoro Saadun aliingia dakika ya 68 na kwenda kuiamua mechi nzima kisha baada ya pale akapata majeraha yaliyomuweka nje kwa kipindi kirefu!

Sasa amerejea zikiwa zimesalia siku chache kelekea kukutana tena na Simba.Alianza kucheza katika mchezo uliopita dhidi ya Singida Black Stars ambapo alipata dakika 62 za mchezo kumuweka fiti kuelekea Mzizima Derby!


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons