Walter Bwalya naye atimkia Libya
Mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo Walter Bwalya, amejiunga na klabu ya Al-Qadisiyah Bani Walid ya Libya kama mchezaji huru.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Nkana pamoja na Al Ahly SC anamerejea Afrika Kaskazini baada ya kuwa na kipindi kifupi katika klabu ya Cape Town City FC ya Afrika Kusini .
