Wachezaji wa zamani nchini walifurika kwa wingi kumzika Peter Manyika

Nyota mbalimbali wa mchezo wa soka hapa nchini waliotamba zamani na wa sasa, jana walifurika kwa wingi kumsindikiza gwiji mwenzao wa soka mlinda mlango nambari moja miaka ya 90 Peter Manyika aliyezikwa jana katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Picha zote ni kwa hisani ya Lubigisa Lubigisa beki wa zamani wa Simba SC.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons