Mabululu avunja mkataba kwa Waarabu ili atambulishwe Simba au Yanga

Klabu ya Al ahly Tripoli Ya Libya Imevunja mkataba na mshambuliaji wake Raia wa Angola Mabululu(33).

Mchezaji huyo alietumika hapo Kwa msimu Mmoja na nusu kutokea Petro Athletico de Luanda ya nchini kwao Angola Sasa ni free agent.

Dilisha la Usajili la Tanzania litafungwa Leo Tar31/1/2025. Muda nadhani unatunyima kuona jambo kubwa kwenye dilisha hili.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons