JKT Tanzania yashindwa kuishusha Yanga kileleni

Timu ya JKT Tanzania imeshindwa kuishusha Yanga SC kileleni baada ya kufungwa bao 1-0 na Dodoma Jiji uwanja wa Meja Isamuyo Mbweni jijini Dar es Salaam mchezo wa Ligi Kuu bara.

Bao pekee la Dodoma Jiji limefungwa na mshambuliaji wake hatari Wiliam Edgar dakika ya 50, kwa matokeo hayo JKT Tanzania inaendelea kubaki nafasi ya pili na pointi zao 21 wakati Yanga ikiongoza na alama 22.

Wiliam Edgar


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons