Gundu lamuandama Mayele, Pyramids

Zimepita siku 90 tangu mshambuliaji wa klabu ya Pyramids Fiston Kalala Mayele afunge goli akiwa na klabu hiyo mara ya mwisho kufunga goli ilikuwa mwezi Oktoba mwaka jana.

Msimu uliopita Mayele alifunga magoli manne (4) kwenye michezo tisa (9) ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita na magoli nane (8) kwenye michezo 23 ya Ligi Kuu ya Misri


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons