Al Ahly yaipa unafuu Yanga
Al Ahly imemsimamisha kiungo wao Emam Ashour kwa muda wa wiki mbili na imemtoza faini ya EGP 1.5 m (TshsMilioni82) kwa kushindwa kusafiri na timu leo kuja Tanzania kwaajili ya kuwakabili Yanga.
Emam atafanya mazoezi peke yake katika kipindi chote cha kifungo.
