Simba kumtoa kwa mkopo Mohamed Bajaber
Mohammed Bajaber hatokuwa sehemu ya kikosi cha Simba ikifika mwaka 2026.
Dirisha la Januari Bajaber atatolewa kwa mkopo na mpaka sasa kuna mvutano.
Bajaber anataka kurejea Polisi Kenya huku Simba wanataka kumpeleka JKT Tanzania kama ilivyokuwa kwa Salehe Karabaka!
