Kiungo wa mpira aikacha TP Mazembe kisa Simba
Wakala wa Kiungo Mshambuliaji wa Marumo Gallants Daniel Msendami raia wa Zimbabwe Tshepo More amesema mteja wake ana ofa kutoka vilabu vingi Afrika pamoja na Ulaya baada ya kuonyesha kiwango bora sana msimu huu,
Daniel Msendami aliwahi kuhusishwa na klabu ya Simba SC pamoja na TP Mazembe lakini mwamba aliamua kuichagua Marumo Gallants ili apate muda mwingi wa kucheza.
