Opah Clement amfuata Singano Mexico

Mtanzania,Opah Clement Tukumbuke Sanga amejiunga na klabu FC Juarez ya Mexico baada ya kuachana na Henin FC ya China.

Opah atakuwa pamoja na Mtanzania mwingine Julitha Singano ambaye pia anaitumikia klabu hiyo.

Nyota huyo aliwahi kuitumikia Simba Queens na Besiktas ya Uturuki.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons