Dickson Job balaa kwa penalti...

Kwenye uwanja wa mazoezi pale Yanga hakuna mchezaji mwenye wastani mkubwa wa kufunga penat kama Dickson Job.

Job ana usahihi mkubwa wa kufunga panat kuliko wachezaji wote,kisha anafuatia Pacome.

Kama Ramovic ataamua kupanga penalty taker kutokana na kile kinachotokea uwanja wa mazoezi Basi Job atakua mpigaji wa penat namba moja.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons