PYRAMIDS YAMGOMEA MAYELE KUTUA SIMBA


Mkataba wa mshambuliaji raia wa DR Congo Fiston Mayele na klabu ya Pyramids ni wa miaka 5, nadhani Pyramids wapo tayari kumuuza ila kwa klabu itakayofikia dau lililowekwa kwenye mkataba.

Pia uongozi wa klabu ya Pyramids uligoma kumtoa kwa mkopo nadhani wanatambua ni transition anapitia na wanaamini atakaa sawa tu.

Kati ya Position ngumu kupata mtu ni eneo la striking ndio maana unaona Kamari ya inaendelea kuzitesa klabu za Kariakoo mara Jobe, mara Freddy na wengine Guedde.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons