OPAH CLEMENT AZIDI KUNG' ARA BESIKTAS

Nyota wa Besiktas Opah clement jana alifunga mabao mawili katika ushindi wa Goal 5-0 Dhidi ya Ataşehir Belediye Spor mchezo wa ligi kuu wanawake Nchini Uturuki.

Opah alikuwa anaichezea timu ya Simba Queens ya Tanzania pia timu ya taifa ya Tanzania, Twiga Stars


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons