ZOUZOUA PACOME KIFAA KIPYA YANGA


Wananchi huyu hapa ndio namba 6 wenu Zouzoua Pacome kutoka Asec Mimosas .

Pacome ndiye mchezaji bora wa Asec Mimosas wa msimu uliomalizika akiwashinda Kwame Kramo wa Simba , Mohammed Zoungrana na YAOU Kouas Attohoula ambaye amejiunga na Wananchi tayari.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI