BRUNO GOMEZ AFUNGA NDOA BRAZIL
Kiungo wa Singida Fountain Gate FC Mbrazil Bruno Gomes Barroso amefunga ndoa na mpenzi wake,Nathalia Barroso huko kwao nchini Brazil.
Gomez aliongeza mkataba mpya na timu hiyo wa miaka miwili ikiwa pia alikuwa akihusishwa kujiunga na mabingwa wa zamani Simba SC lakini dili hilo likafeli


