MARUMO GALLANTS YASHIKWA HUKO SAUZI


Wapinzani wa Yanga katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika, Marumo Gallants wamechomoa goli dakika ya 90 na kulazimisha sare ugenini dhidi ya Maritzburg United kwenye Ligi Kuu Afrika Kusini

MUFC 2️⃣ - 2️⃣ Gallants


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons