YANGA YAKARIBIA KUMNYAKUA CHIVAVIRO WA MARUMO

MABINGWA wa soka Tanzania bara
Young Africans Sports Club ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini, Ranga Chivaviro (30) ambaye mpaka sasa amefunga magoli 17 kwenye mashindano yote.

Azam FC pia jmetuma ofa rasmi lakini Yanga ndio wapo karibu kumpata mshambuliaji huyo ambaye tayari timu yake ya Marumo imeshuka daraja.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons