Kuziona Marumo na Yanga ni bure

Marumo Gallants ya Afrika Kusini imetangaza hakutakuwa na kiingilio katika mechi ya marudiano nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga Jumatano ijayo Mei 17 katika Uwanja wa Royal Bafokeng.

Marumo ilifungwa mabao 2-0 na Yanga jana Mei 10 katika Uwanja wa Mkapa, Dar.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons