Dickson Job azushiww kuondoka Yanga kisa Baka
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa Beki wa Yanga Sc, Dickson Job anahusishwa kutimkia katika vilabu mbalimbali vya ligi Kuu ikiwemo Simba Sc, Wasafi Media imemtafuta meneja wa mchezaji huyo, George Job ili kutolea ufafanuzi juu ya mkabata wa mchezaji huyo na Klabu yake ya sasa.
“Mkataba wa Job unaisha mwisho wa msimu huu, na hatujasaini mkataba wowote hadi sasa, hatuna haraka na mkataba mpya kwa sasa tunatumikia mkataba wetu,” George Job.
