AHMED ALLY: SIMBA INAENDA KUFUZU ROBO FAINALI NA NYIE MTASHANGAZWA..!!
.
Tumebakiwa na nafasi moja ya dhahabu, Mechi ya marudiano nyumbani Benjamin Mkapa February 01
Namna ambavyo tumecheza, namna ambavyo Wachezaji wetu wamepambana inatia matumaini makubwa ya kufanya vizuri mechi tatu za mwisho
Hatukati tamaaa mechi tatu za mwisho ni halali yetu bado tuna akiba ya alama 9 za kupigania, Na Sasa tunaianza safari mpya ya kufukuzia alama hizo Insha Allah tutazipata
Ameandika Ahmed Ally.
