Raja Casablanca walikuwa na mechi mbili za kirafiki na zote wamepigwa
ya kwanza wamepigwa 2 -0 na ya pili wamepigwa 2-1.
Baadhi ya mashabiki wanasema wanampenda Fadlu kwakuwa ana misimamo sana na kile kitu anachokiamini.
Wengine wanasema hafai kwakua amekuwa akichezesha wachezaji ambao inaonekana viwango vyao ni vya kukaa benchi au kuondoka lakini yeye ndio anawaamini akiwemo Pape Sakho.
