Timu nane (8) zinatarajia kushiriki michuano ya Mapinduzi Cup inayotarajia kuanza kurindima visiwani Zanzibar Desemba 29, 2025 hadi January 13, 2026.
Timu hizo ni Yanga, Simba, Singida Black Stars, Azam fc, Fufuni FC, Mlandege, URA (Uganda), na KVZ, mshindi wa michuano hii ataondoka na Millin 150, mshindi wa pili million 100.
