Huenda Clatous Chota Chama akajiunga na Simba SC kwa mara ya tatu tofauti endapo ombi la klabu ya Simba SC litakubaliwa na Singida Black Stars.
Simba SC wanahitaji huduma yake, huwenda akajiunga na Simba Sc dirisha dogo la usajili..
Chama alijiunga na Simba SC kwa mara ya kwanza msimu wa 2018 kama mchezaji huru.
Akaondoka na kujiunga na RS Berkane ya Morocco lakini mambo hayakua mazuri akarudi Simba SC..
Msimu jana alijiunga na Yanga SC na baadae akatimkia Singida Black Stars.
Kama akirudi tena Simba SC basi itakua mara yake ya tatu
