Klabu ya TRA United zamani Tabora United ya mkoani Tabora, imemuajiri aliyekuwa CEO wa vilabu vya Simba SC na Yanga SC vyote vya Tanzania Senzo Mbatha Masingiza kuwa CEO wake.
Taarifa iliyosambazwa mtandaoni na yenye uhakika kwamba TRA United imemuajiri Masingiza ambaye alipokuwa Simba pamoja na Yanga aliziwezesha kujiendesha kama kampuni.
