Fred Minziro amekuwa na mwanzo mbaya akiwa na kikosi cha BigMan ambapo mpaka sasa amepoteza michezo 3 mfululizo ambayo ameiongoza timu hiyo huku timu wakiwa hawajafunga goli lolote.
Timu hiyo ya Minziro imepoteza dhidi ya TMA 1-0, Mbuni 2-0 na Kagera Sugar 1-0, michezo ya BigMan inayofuata ni dhidi ya Barberian,
Polisi Tanzania, Songea United
na Kengold