Mecky Mexime ndiye anatajwa kurithi mikoba ya Salum Mayanga ndani ya kikosi cha Mashujaa FC ,Ikumbukwe kuwa Kwa sasa Mexime hana timu anayofundisha baada ya kuachana na Kagera Sugar msimu uliopita.
Mecky ni kocha mwenye uzoefu mkubwa na soka la Tanzania akiwa amewahi kufundisha kwenye Vilabu vya Mtibwa Sugar ,Kagera Sugar,Ihefu pamoja na Dodoma Jiji.