Klabu 4 za Algeria zimefanikiwa kuingia hatua ya Makundi ya mashindano ya CAF
CAF Champions League zilizoingi
ni MC Alger inayonolewa na Rulani Mokwena, JS Kabylie inayonolewa na Josef Zinnbauer.
CAF Confederation Cup zilizofuzu ni CR Belouizdad inayonolewa na
Sead Ramović aliyewahi kuinoa Yanga na timu ya USM Alger inayonolewa na Abdelhak Benchikha ambaye aliwahi kuinoa Simba SC.
