Kocha mkuu wa KMKM ya Zanzibar Hababuu Omar ameoneshwa kuhuzunishwa na tabia za mashabiki wa Tanzania hususani upande wa Zanzibar kua hawapendi timu zao za Zanzibar hali inayopelekea wachezaji kucheza bila support ya mashabiki
Pia amesema amezungumza na makocha zaidi ya wanne kutokea Zanzibar ambao nao wamekili kua hua wanafurahia zaidi kucheza nje ya Zanzibar kuliko ndani ya Zanzibar
Katika hatua nyingine kocha huyo amesema wanajiona kama wapo nyumbani na watatoa ushindani mkubwa kwa Azam FC baadaye leo.