Klqbu ya Simba SC, imetambulisha Dimitar Pentev kuwa meneja mkuu akifanya kazi kama kocha mkuu lakini atasimama kama msaidizi kwakuwa hana vigezo.
Inasemekana Pantey ana UEFA A ambayo haimfanyi kusimama benchi kama kocha mkuu ila ataelekeza timu kwenye mazoezi na wakati wa mechi Seleman Matola atasimama kama kocha mkuu.