Nyota wa klabu ya Yanga Ibrahim Bacca amefungiwa baada ya kuonesha mchezo usio wa kiungwana kwenye mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC.
Katika hatua nyingine Waamuzi waliochezesha mchezo wa JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na waamuzi wa mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC wamefungiwa zaidi ya michezo (3).
Adhabu hizo zimetolewa baada ya Kikao cha kamati ya saa (72) kuketi hapo jana na kufanya Maamuzi hayo.