Uongozi w klabu ya Yanga SC upo mbioni kumtambulisha mdhamini wao mpya ambaye atavaliwa kwenye jezi za kikosi cha Yanga Princess,
Misimu yote ya nyuma walikuwa wakivaa jezi zenye mdhamini sawa na timu yao ya kiume ambaye ni Sportpesa ila msimu huu mpya itakuwa tofauti kidogo kwa maana na wao Yanga Princess watakuwa na mdhamini wao tofauti na Sportpesa.