Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa ametoa tahadhari kwa vilabu vya Simba na Yanga kuhusu matumizi ya Uwanja wa Benjamin Mkapa.
.
"Wote ambao mmeomba kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa (Simba na Yanga) tunaomba tuelewane tutakapowaambia tafuteni uwanja mwingine, kwa sababu tunataka tufanye ukarabati, itakapofika hapo isiwe mgogoro"
.
-Mhe Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo.