KELVIN John akiwa na Aalborg FC msimu huu tayari amepachika Mabao matatu kwenye michezo 8 waliyocheza huku akiwa mchezaji tegemezi kwenye Kikosi hicho
Kelvin ana wastani wa kucheza dakika 88 kwenye kila mchezo (kwenye michezo 8 waliyocheza Hadi hivi sasa)
Ila hizi takwimu hazijatosha kumfanya @kelvin.p.john aitwe timu ya Taifa isipokuwa kaitwa Selemani Mwalimu (pia ni mchezaji mzuri sana) ambaye hakuwa na game time ya kutosha pale Wydad AC na hata takwimu zake hazireflect sana