“Yanga wana Wachezaji wakubwa kwa ajili ya mechi kubwa, nasi tunahitaji aina hiyo ya Wachezaji ili kupambana nao kwanza nimpongeze Rais MO Dewji kwa usajili mzuri ila nataraji Jayrutty atatusaidia Mchezaji mmoja mwenye utofauti katika eneo la mwisho, hata msimu uliyopita tulipata changamoto mechi kubwa fainali ya Shirikisho na hata dhidi ya Yanga kwasasabu tulikosa aina hiyo ya Mchezaji katika eneo la mwisho, kabla dirisha halijafungwa natamani sana tumpate Mchezaji wa aina hii”
Anasema Fadlu Davids kupitia Azam TV.