Mwenyekiti wa CCM na Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania kwa mara nyingine atapiga marufuku Hospitali kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na Ndugu zao.
Dkt. Samia amesema hayo kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho viwanja vya Tanganyika packers Kawe, Dar es salaam.