Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars usiku huu imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Madagascar mchezo wa kundi B kombe la mataifa Afrika kwa wachezaji wanaicheza ligi ya ndani maarufu CHAN.
Licha kwamba Madagascar imeongoza kwa mchezo mzuri, yaani ball pozisheni, ilianza kupata bao la kwanza likifungwa na Clement Mzize dakika ya 13 kabla ya dakika ya 20 kufunga la pili.
Bao pelee la Madagascar limefungwa na Razafi Mahatana dakika ya 34, Stars moja kwa moja inatinga robo fainali kwani mpaka sasa ni vinara wa kundi B ikiwa na pointi 9.