Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa beki wa kati Vedastus Masinde (19) kutoka TMA inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Tanzania
Simba SC imempeleka Vedastus Masinde kujiunga na JKT Tanzania kuelekea msimu ujao ili kuboresha kiwango chake ikiwa ni makubaliano ya uhamisho wa Yakoub Suleiman na Wilson Nangu