Mwanamuziki wa Bongo Hip-hop, Joseph Haule [Prof Jay] amesema kipindi akiwa mgojwa mke wake aliuza kila kitu nilichokuwa nikimiliki awali.
"Nadhani akitoka Mungu anafuata mke wangu, Wife alinipambania sana uhai wangu aliona bora auze kila kitu tulichokuwa tukimiliki ili mimi nipone."-Amefunguka Prof Jay.