Klabu ya Pamba Jiji, imekamilisha usajili wa , Abdallah Idd Pina , kutoka Klabu ya Mlandege FC Kwa mkataba wa miaka miwili.
Mshambuliaji huyo alikuwa mfungaji bora msimu 2024 katika ligi ya Zanzibar akiwa na mabao 21 , mbali na kufumania nyavu nyota huyo alikuwa na mchango mzuri sana katika Kikosi cha Pamba Jiji.