Mshambuliaji mpya wa Young Africans SC Celestine Ecua ameamua kuichagua Nchi ya Chad ambayo ni nchi yake ya pili kuitumikia kwenye timu ya taifa akiikacha Ivory Coast,
Sababu kubwa ya Ecua kuichagua Chad ili apate nafasi ya kucheza mara Kwa mara sababu kikosi cha Ivory Coast kimesheheni mastaa wanaokipiga Ulaya