Klabu ya Simba SC imepokea barua kutoka klabu ya Mamelodi Sundowns ya kukubali kumtoa kiungo wao Neo Maema kujiunga na Wekundu wa Msimbazi kuelekea msimu ujao na kila kitu kimekamilika
Neo Maema atajiunga na Simba SC kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Mamelodi Sundowns na atajiunga na Simba SC baada ya kurudi kutoka katika michuano ya CHAN 2024