Vilabu 12 vimethibitisha kushiriki michuano ya kombe la Kagame Cup linaloshirikisha timu za ukanda wa CECAFA, maarufu Klabu bingwa Afrika mashariki na kati.
Timu ambazo zimethibitisha kushiriki ni pamoja na Singida Black Stars ya Tanzania bara Flambeau du Centre, Gardes Cotes FC za Zambia,
Ethiopia Coffee ya Ethiopia, Kenya Police, Mogadishu City Club na APR FC.
Nyingine ni El Merriekh Bentiu, Al Hilal Omdurman, Al Ahly Madani, Vipers SC na Mlandege (Zanzibar)
Mashindano yatafanyika kuanzia tarehe 2 hadi 15 Septemba KATIKA viwanja:vya Azam Complex na KMC Complex jijini Dar es Salaam
Mashindano makubwa zaidi ya vilabu vya Afrika Mashariki na Kati