Klabu ya Espérance Sportive de Tunis ya Tunisia imetuma ofa kwaajili ya kumnasa mshambuliaji, Clement Mzize (28),
Yanga wamekataa ofa ya $600,000 iliyotolewa na Al Masry ya nchini Misri, naelezwa tena kuwa Yanga wapo tayari kupokea $800,000 hadi $900,000 kwa klabu zinazomuitaji Mzize, Esperance inatajwa kuwa kwenye ushindani mkali na Al Sadd SC ya Qatar katika kuwania saini ya Mzize.