Klabu ya CS Constantine kutoka Algeria Imewasilisha Rasmi Ofa ya Kumsajili Kibu Deniss Kutoka Simba.
Klabu hiyo ya Algeria iliweka mezani ofa yenye thamani ya dola 180,000, chini kabisa ya thamani ambayo Simba wanahitaji.
Kwa Mujibu wa Taarifa kutoka Simba ni kuwa Simba wao wanahitaji dola 350,000 ili kumuachia Kibu Deniss.