Klabu ya Mohammedan Sporting Club ya nchini Bangladesh Premier League. amekamilisha usajili wa mchezaji Bernard Morrison.
Anatajwa kama nyota mkubwa zaidi kuwahi kusajiliwa katika historia ya ligi hiyo..
Ikumbukwe Morrison aliwahi kuzichezea Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Yanga na Simba za Tanzania na DC Motema Pembe ya DR Congo